aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 14, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMJIBU ALIYESEMA KUWA YEYE NI MZIGO KWA SERIKALI,NA HILI NDO JIBU LAKE

mizengo pinda 
Ni swali ambalo limeulizwa bungeni dodoma 
Mbunge wa viti maalum Rukia Ahmed:
Tulipokua tukijadili taarifa ya kamati ya hesabu za Serikali pamoja na serikali za mitaa kuna Mbunge alisema kwamba kama kuna mzigo, basi mzigo nambari moja ni wewe Waziri Mkuu, hili unalizungumziaje?’
Waziri Mkuu Mizengo Pinda: ‘Kila mmoja anamuhuku mtu kutegemea na alichonacho kwenye fikra zake, Waziri mkuu huyu anasimamia Wizara zaidi ya 20 hivyo kama utamuhukumu kwa sababu ya Wizara moja au mbili humtendei haki, unajua uzuri wa nafasi hizi huombi… ni rahisi kwa maongezi yake kichwani na anavyojaliwa na Mwenyenzi Mungu anaamua kusema ngoja nimpe dada Rukia kuwa Waziri mkuu, kama zipo kasoro, Rais ndie mwenye maamuzi’