aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 14, 2013

PREZZO AENDA KWAO MWANZA KUTOA MISAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA

 Prezzo hajapasau kwao Mwanza aka Rock City. Pamoja na kuwa mfalme wa bling Afrika Mashariki na kufahamika kwa kuishi maisha ya kifahari, Lakini Hivi Karibuni Alikwenda Mwanza Kutoa Misaada Kam Jinsi Moyo Wake Ulivyomyuma, Kuweza Kusaidia Watoto Hao Wasio na Misaada.


Picha mbalimbali za Prezzo akiwa kwenye kituo cha Upendo Daima Childrens Home cha Mwanza

Wiki hii aliungana na dada zake Hellen na Kivila Matata wa Mwanza kwenda kutoa misaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo Daima Childrens Home.


Rapper huyo wa Kenya ameshare picha zinazomuonesha akikabidhi misaada mbalimbali kwenye kituo hichoKupitia Instagram na katika picha moja wapo aliandika: Fruitful day it was at #UpendoDaimaChildrensHome with my #MaLilSistaz @kaykivila @hellenmatata @rajaray254 @swai smith #rock city.”