aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 7, 2014

TUMIA DAKIKA ZAKO 4 KUTAZAMA ALICHOFANYA JOKATE KWENYE HII MOVIE MPYA.

Najua baada ya taarifa kutoka kila shabiki au anaemfatilia Jokate alipata hamu ya kutazama hii filamu mpya ambayo JB amemshirikisha Jokate, ni time yako sasa hivi kuitazama Trailer ya movie yenyewe hapa chini.

Kwenye hii trailer wako waigizaji wengi wakali akiwemo Irene Uwoya na JB mwenyewe lakini Jokate amekua akisubiriwa kwa hamu kwa sababu ndio mpyampya kwenye uigizaji.

tazama video hapo chini

No comments:

Post a Comment