Mhubiri mmoja afrika kusini ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia waumini wake wale majani ili waweze kuwa karibu na mwenyezi Mungu..Baada ya kula majani hayo waumini wote wakaanza kuumwa na ugonjwa wa tumbo na kukimbizwa hospitalini.Picha chini hapa:
ONYO:NDUGU ZANGU INABIDI MUWE MAKINI SI KILA KITU MNACHOAMBIWA MWAFANYA
KIMBEMBE KIKAANZA UGONJWA WA MATUMBO |
KAZI IYO BAADA YA KULA MAJANI |
UYU NDIO MHUBIRI MWENYEWE |
No comments:
Post a Comment