aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 12, 2014

PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA SILAHA ZA KIVITA KATAVI


 

watuhumiwa watatu wakukamatwa na bunduki ya kivita aina ya G3 wakiwa katika kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa wa Katavi ambao walikamatwa na bunduki hiyo ya kivita hapo january 10 2014 majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha matandalani kata ya sitalike wilaya ya mlele wakiwa njiani kuelekea Tunduma mkoani mbeya watuhumiwa hao ni simon Kasobhile (42) mkazi wa Ileje Mbeya, BIlau Rashidi (44) maarufu kwa jina la maftah mkazi wa sumbawanga na Martin John (32) mkazi wa Tunduru 

No comments:

Post a Comment