aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, January 20, 2014

DUNIA INA MAMBO...MFAHAMU SISTA ALIYEPATA MIMBA NA KUUSHANGAZA ULIMWENGU HIVI KARIBUNI...


Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.