CHANZO cha habari kilieleza kuwa msichana huyo shida
yake kubwa ilikuwa ni kupata kazi ya maana ndipo kibosile
huyo alipojipatia fursa ya kumega penzi kiulaini baada ya
kumuahidi mrembo huyo kwamba kazi ipo njenje.
Jamaa alizidi kumchanganya dada kwa kumwambia kwamba yeye ni Director katika kampuni kubwa..! Dadada alikubaliana na yote lakini inaonekana kama vile mrembo huyu alimuandaa mwenzie na Camera kabla ya tukio ili wakianza mambo ya watu wazima tu apige picha ya ushaidi ili endapo kama boss huyo atakiuka makubaliano hayo wamshushue. Basi kilichojiri ni kwamba penzi limetoka na kazi haikupatikana.
Dada zetu narudia tena dada zetu muwe makini jifunzeni kupitia wenzenu kama hawa.
No comments:
Post a Comment