aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, January 20, 2014

Watu sita wafariki Dunia baada ya kuangukiwa na machimbo ya Kokoto (Moram) wilayani Karatu...!

Watu sita wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na machimbo ya moram hapa wilayani Karatu.
Machimbo hayo yako karibu na shule ya Sekondari Mlimani. Hali ni tete ni majonzi kilakona...
 

Habari zaidi zinasema kuwa huenda kuna watu zaidi ndani ya machimbo hayo na mkurugenzi wa Halmashauri ameagiza grader kwaajili ya kuendelea kufukua zaidi. 
Hapa wilayani Karatu hakuna kifaa chochote cha uokozi na wala gari la zima moto hakuna. Watu tunaishi kama tuko shimoni.
 
R.I.P. Vijana 6 wa kitanzania waliofariki katika kutafuta riziki.