aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, January 10, 2014

Huyu ndiye Mwanamke mrembo na Tajiri Africa Mashariki.



Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini? mimi na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua .

Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake, Jitiririshe chini

Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe

Unaweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako

Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini

Usafiri wa kwendae duka

Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice

Zari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani

Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!!

Usafiri huu ni mambo ya mitoko ya usiku kwenye viota vya maraha ndani ya jiji la Kampala

Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini
 
Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha

No comments:

Post a Comment