aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 15, 2014

JACK CLIFF AMEACHIWA HURU NCHINI CHINA? TAZAMA HII PICHA

Kupitia account ya Mrembo Jack Cliff ya Instagram imepostiwa picha ambayo bado hatujawa na uhakika kama ni Jack mwenyewe amepost au ni mtu mwengine, Picha hapo juu inaonesha Jack akiwa kwenye Mall moja wapo la humo nchini China. Habari zaidi tutawajuza baada ya kupata ukweli kutoka kwa watu wake wa karibu.