aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 12, 2014

HUU NDO MWONEKANO MPYA WA LULU KWA MWAKA 2014Mwanadada maarufu kwa jina Hottest Elizabeth Michael {HotLulu} ameamua kubadilisha muonekano wake baada ya kudumu na mazoezi kwa siku kadhaa zilizo pita, baada ya hayo mazoezi na haya ndo majibu yake na ndio muonekano wake mpya wa kuanzia mwaka 2014....Zifuatazo ni baadhi ya picha za muonekano wake mpya amabazo alizipost kupitia mtandao wa kijamii wa instagramu huku akiwa amesema maneno yafuatayo