aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 29, 2014

JE WAJUA?UGONJWA WA WEMA NA SUKARI YA DIAMOND HII HAPA

Kusema ukweli kila msichana huwa anakuwa na taste yake mwenyewe kwa vitu avipendavyo,na kwa class ya aina yake mwenyewe hivyo kuna vitu vidogo vidogo tu ambavyo mara nyingi mtu akifanyiwa humfanya aweze kufurahi kinoma,moja ya vitu ni kama zawadi tu ndogo ndogo tu kuonyesha kwa mba mtu anakumbukwa kila mara,to a lady hiyo is a plus na kufanya kama ni mahusiano yaweze kudumu,cause hiyo ni moja ya njia ya kuonyesha kuwa unamjali babe wako.
c2d7d8f486d111e3ae5412bb72507cc7_8
Perfume ni moja ya ugonjwa mkubwa sana wa Wema,tena siyo perfume tu za kawaida ila zile expensive original ones zenye brand ya kimataifa,kwa mtu anayefuatilia sana mambo haya ya perfume,utagundua kwamba wadada wengi hutumia perfume zaidi ya moja katika siku,na kwa wiki anaweza asirudie perfume aliyoitumia jana au juzi yake,kutokana na mapendekezo ya mtu,ila kwa Diva huyu wa Bongo she is addicted to perfume.
IMG_1120
Diamond nae si kipofu kujua nini babe wake akipendacho and he knows how to spend some few dollas on her na kuzidi kumchanganya zaidi na zawadi za hapa na pale pale anapotoka tu nje kidogo ya bongo kuweza kutoa surprize,its everygirl dream kupata zawadi za hapa na pale bila kutegemea ,siyo lazima zile kubwa za kuweza kukufanya uingie cost kiviile ila some times ndogo ndogo tu kama perfumes huwa ni moja ya zawadi tosha sana,na ni moja kati ya vitu avifanyavyo kwa babe wake huyu wa mda mrefu.
Hii inaonyesha kuwa this time around hawako ready ku-mess things up,this time its going to be a litle different,hii ni moja ya star couple ambayo mbali na kupitia misukosuko ya hapa na pale ikiwemo kuachana na kurudiana,ila wawili hao inaonekana hakuna kinachoweza kuja kati yao na kuweza kuwatenganisha,they stil prove a point kwa wale waits the most famous celeb couple of all time.

No comments:

Post a Comment