aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 21, 2014

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS FM..!


diva1

WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha.

Hamis Mandi ‘B 12’.
Watangazaji hao walisimamishwa na uongozi wa Clouds baada ya kuchoshwa na tabia yao ya utovu wa nidhamu hivi karibuni.

.Adam Mchomvu

No comments:

Post a Comment