aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 22, 2014

BREAKING NEWZZ!!! MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AFARIKI DUNIA.....FUATILIA ZAIDI HAPA

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
  
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.SAID BWANA MDOGO amefariki dunia mapema leo baada ya kuugua kwa muda mrefu.Tunawaombea mungu awape nguvu ndugu Jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu kwao.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment