Kila siku nasema bora marafiki zangu wawe mapaka na mambwa, sasa so called kigogo wa madam amekaa hapo juu sasa, sasa huyu dada jamani daah yaani mtu umemjua hata miezi miwili bado umeshajisexisha kiasi hiki na kuchora tattoo, kweli wanawake tunajishangaza wenyewe, sasa yeye anaona anamkomoa mwenzie haaa jamani hii Tanzania kuna vibweka kila kukicha
| ||
yaani ndipo nina amini wanawake mwalimu wetu ni kipofu upo na mwanaume less than 2 months unajichora hivi |
Naima aliechukua nafasi ya madam |
Ladies, usione mwanamme alikuwa ana muhonga msichana mwenzio ukajua na wewe itakuwa hivyo, kumbuka kila mtu na bahati yake yeye ameitwa Wema na wewe unaitwa Naima
I do the seeking n you do the judging…
No comments:
Post a Comment