aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, January 13, 2014

HATARI SANA:MAUNO VIUNO YA SNURA MUSHI YAMVURUGA MAZIMA MZUNGU....!ATAKA AFUNDISHWE "MIVURUGO YA MAJANGA".



Raia wa kigeni kutoka germany aliejulikana kwa jina moja tu la Joan amesema tangu afike Tanzania miezi mitatu sasa amejikuta akivutiwa sana na kazi za snura hasa katika swala zima la jinsi anavyolitawala jukwaa kwa style yake ya viuno vilivyoovurugwa amesema Ataakikisha anaondoka na Snura mpaka nchini kwao kwa ajili yakwenda kufundishwa viuno tu.
 Joan akiwa na snura na madansa wa snura #team majanga
Snura kulia Joan na hk manager wa snura.
Haya sasa kama wazungu wanaelewa we mswahili unagoja nini acha kukunja fungua tulisongesheeeee. 

No comments:

Post a Comment