aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, January 16, 2014

PICHA:TAZAMA PICHA ZA H.BABA AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE PAMOJA NA MKEWE,MWENYE WIVU AJINYONGE,


Jana tarehe mtu mzima H.Baba msanii kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama mzazi wa H.Baba na wadogo zake wa mwisho. Hizi ni baadhi ya picha tu wakiwa pamoja wakila keki kwa pamoja.