SIKU YA JUMAPILI MDOGO WETU MPENDWA HAMZA MBAROUK ALIFUNGA NDOA YA MAISHA NA MPENZI WAKE WA MUDA MREFU..HARUSI ILIFANYIKA NYUMBANI KWAO KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM.HONGERA SANA JEMBE LETU..MUBA BABASHOPU MTUNZE SHEMEJI UYO
 |
PACHAAA NAONA KAZI YAKO ILIKUWA KAMERA TU |
 |
KAKA WA MUOAJI AKITOA SHUKRANI KWA NDUGU NA JAMAA WALIOFANIKISHA NDOA HII
 |
 |
ZAIIII SOON TUNAKULA KIPUNGA HAPA |
 |
HAHAH ILIKUWA FURAHA SANA KWANI MZEE OMMY ALICHEZA KIDUKU IYO SIKU HAHAH NAMKUBALI SANA MZEE WETU |
 |
BRO ALLY YEYE ALIKUWA AKICHEKA TU HAHAHAHHA SAFI SANA NDUGU ZANGU |
No comments:
Post a Comment