aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, January 10, 2014

"Niko Tayari kufanya tena kazi na CHADEMA"....Zitto

Mbunge wa kigoma kaskazini mheshimiwa ZITTO KABWE (CHADEMA), amenukuliwa na gazeti la Zanzibar leo akisema nipo tayari kufanya kazi na kiongozi yeyote wa CHADEMA.
 
 Mimi Najiuliza, ni kiongozi gani aliyeitwa Mhafidhina na mwingine kuitwa Kifaranga halafu akashirikiana na Zitto anayejiita mwanademokrasia??? 
Je mwanademokrasia anaweza kuwadharau wenzake kuwa ni vifaranga na wengine ni wahafidhina bado akapata ushirikiano kutoka kwao???
 
Binafsi nahisi huu ni unafiki kwani Zitto mwenyewe alikaririwa akisema nchi ikienda upinzani wananchi watapata shida sana.


Chanzo: Jamii Forums

No comments:

Post a Comment