aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 8, 2014

MWANAMKE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT DAR ES SALAAM.

 
MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania) leo ; mwanamke huyu amekwishashusha kete 63!

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.


Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.

No comments:

Post a Comment