aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, January 3, 2014

MAMA KANUMBA AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA"HAKUNA MSANII YEYOTE HAPA BONGO WA KUMFANANISHA NA MWANAYE KANUMBA"

MAMA wa msanii aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa  amenyanyua kinywa chake na kutema cheche kuwa katika mastaa wote wa filamu Bongo, hajaona hata mmoja wa kumfananisha na mwanaye kimuonekano na hata katika uigizaji wake.


 

Flora Mtegoa.
Akipiga stori na Mnyetishaji wetu mama Kanumba alisema hayo kutokana na mastaa wengi kutamani awape nafasi ya kucheza kaAma Kanumba katika filamu yake anayoiandaa inayohusu maisha ya mwanaye tangu utotoni, na kudai katika wote hajaona mwenye kigezo cha kumpa nafasi hiyo.
http://api.ning.com/files/PITcqz*43RkKw2f5MGUiWjjeHXNgbt2HfQDbhWphHJFoE9De9lW3yfv-CdtNSPPMqcvbyM8OWSfYUGVBA-rmOwXTNUsOsl9O/KANUMBA.jpg 
Marehemu Steven Kanumba.
Siyo kwamba hawana kiwango kizuri cha kumfikia mwanangu, isipokuwa kwa mtazamo wangu naona nikimshirikisha staa yoyote katika kipengele hicho nitakuwa nimevurunda kazi yangu…nitaandaa tamasha maalumu la kumsaka kijana anayefanana na Kanumba,” alisema mama huyo.

No comments:

Post a Comment