Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Shabani Mrutu kwa mujibu wa vitambulisho vyake na mtumishi wa idara nyeti serikalini ameuwawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikika kuwa majambazi na kufariki papo hapo katika eneo la Magereji Tegeta kibaoni jijini Dar es Salasam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment