aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 22, 2013

WEMA SEPETU KUWATAMBULISHA WASANII WAKE JUMAPILI HII BILICANAS.....

CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu anatarajia kufanya uzinduzi wa single za wasanii wake Mirror na Asali utakaofanyika Jumapili hii ndani ya Club Bilicanas jijini Dar es Salaam.IMG-20130820-WA0001 Uzinduzi wa nyimbo mbili mpya Mzuri ya Asali pamoja na Baby ya Mirror, utasindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Barnaba,Country Boy,Nyandu Tozi,Linex,M2 the P ambapo Wema Sepetu atakuwa mshereheshaji.IMG-20130820-WA0006 Kiingilio kwenye uzinduzi huo ni shilingi 6,000. 

No comments:

Post a Comment