aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 29, 2013

DEMU AAMUA KUVUA NGO SALOON NA KUWAAMBIA WENZAKE WAMPIGE PICHA ATUME KWA BOY WAKE

Kioja hiki kimetokea kwenye saloon moja sinza , demu ambae jina lake halikuweza kupatikana kirahisi ila inasemakena ni maarufu hapa mjini kwa kuwa company na wasanii wa bongo flava , alifika saloon na kuanza kuwaadhia wenzake kuwa anatoka na wasanii wakubwa hapa bongo na baada ya muda mfupi alifua nguo na kuomba kupigwa picha ili amtumie boy wake kwenye whats app...kila aliye kuwa pole saloon aliruhusiwa kupiga picha kwa simu yake bila shida......Hapo sasa sijui ni kutafuta KIKI ama nini?

No comments:

Post a Comment