aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 29, 2013

LULU AFANYA SHOPPING KWA AJILI YA UZINDUZI WA MOVIE YAKE MPYA YA FOOLISH AGE,GAUNI TU THAMANI YAKE $1,350....!!


Hot Lulu mwigizaji wa filamu Swahilihood. 
UNAPOONGELEA Filamu ya Foolish Age ya mwigizaji wa kike mwenye mvuto Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ basi unaongelea na mavazi, jana nilikueleza na kukuonyesha akifanya Shopping katika maduka kadhaa leo tunakupa thamani ya gauni lake ambalo atalivaa siku hiyo ya uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age hapo Mlimani City.


Elizabeth MichaelLulu akiwa anaingia dukani.
Elizabeth MichaelHot Lulu akiwa Studio FC
Elizabeth MichaelLulu akiwa katika duka la Beauty Point
Lulu katika pozi kiwanja.
Lulu katika pozi kiwanja.
 
“Ni gauni nzuri na ilikuwa ni oda maalum kwa ajili yangu na nimelipata kwa wakati nashukru mungu, so kila kitu ninachofanya utakipata kupitia mtandao wa habari www.filamucentral.co.tz, wao watakuwa wanaripoti kwa kila hatua ya tukio hili muhimu katika maisha ya tasnia ya filamu. 
Pia mama Lulu naye amenunua gauni la gharama ambalo utatajiwa baadaye ili upate kujua ni thamani ya gauni hilo na vitu vingine unajua haujajua Hot Lulu anavaa viatu gani vinauzwaje, hilo utalijua kupitia hapa hapa FC subiri soon. 




No comments:

Post a Comment