aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 30, 2013

SEAN KINGSTON NOMA..!! ABAKA NA KUMLA MTUNGO DEMU ALIELEWA...!!!


Sean Kingston na walinzi wake (Bodyguard) wamemla mtungo msichana (20) aliekuwa amelewa, katika chumba cha Hoteli, 2010.


Carissa Capeloto  ambae kwa sasa ana miaka 22,  anadai  kulazimishwa kufanya ngono na Sean, walinzi wake na member wa bendi ya Sean katika hoteli iliyoko Seattle, Julai, 2010, baada ya yeye kuvuta bangi na kufuta shots 7-10 za vodka.

Capeloto - ambaye amewashitaki watu wote 3, anadai alialikwa katika chumba cha hoteli hiyo na Kingston kwa kukutana-na-kusalimiana (meet and greet) kufuatia tamasha la Bieber, ambapo Kingston pia alikuwa aki- perform, lakini wakati alipofika chumbani, Kingstone alikuwa ameshatupa kule kila kilichokuwa mwilini mwake (naked) yuko juu ya kitanda akimsubiri
Capeloto amedai kuwa mlinzi alimnyanyua na kumuweka juu ya Kingston, na wote watatu waliendelea  kumbaka wakati yeye alikuwa "ni wazi amelewa, na kutokuwa na uwezo wa kutoa ridhaa."

Capeloto anasema rafiki yake baadaye aliingia katika chumba na kumuokoa. Polisi waliitwa na Capeloto alipelekwa hospitali ambapo anasema yeye alikuwa akitibiwa kwa majeraha ya kimwili sambamba na ubakwaji.
Anasema maisha yake yameharibiwa, halali vizuri usiku, ana mood swings na anadai fidia ya dola mil 5 kima cha chini.
Kingstone amepeleka documents za kisheria zinazodai kuwa ngono waliofanya ilikuwa ni makubaliano kwa asilimia 100.

Kesi inatarajiwa kusikilizwa mwezi wa 9.

No comments:

Post a Comment