aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 28, 2013

P-SQUARE WAFANYA KUFURU KWA KUWAMWAGIA PESA WADADA WANAO CHEZA NUSU UCHI CLUB

 Wasanii wa P-Square kupitia account ya Instagram ya peter okoye, wameweka picha ambazo zinawaonyesha wakiwa katika Club ya Ma-Strippers (Wanawake Wanaocheza Uchi) katika kile kinachoaminika kuwa moja ya njia za kujipooza na 
kujiburudisha baada ya kazi nzito ya kuwatumbuiza watu huko Marekani.
Kutoka kwa picha hizi ambazo zinawaonyesha wakizitumbua pesa walizozitolea jasho kihalali, kumezuka maoni mengi na mitazamo tofauti kutoka kwa mashabiki wa wasanii hawa... ambapo pia wewe kama mmoja wao unaweza kuona hapa na kutoa mtazamo wako.

http://distilleryimage10.ak.instagram.com/6494af420fad11e39e7122000aaa0fd8_7.jpg

No comments:

Post a Comment