aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 28, 2013

ULIONA JENEZA LINALOFUNGULIWA KWA RIMOTI.., HILI SASA LINA KIYOYOZI "AC" LITALOTUMIKA KUMZIKA KIONGOZI HUYU....!!


Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.

Hivi karibuni watanzania tulishangazwa pale tulipoona sanduku la Billionea wa Arusha ambalo lilikua likifunguliwa kwa 'Remote Control'. Nadhani sanduku hili pia litawashangaza wengi.



No comments:

Post a Comment