aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 29, 2013

Mkali wa pretty girl,Tox Star anakuja tena...

Mkali wa pretty girl toka pande za Sharobaro family pale 

magomeni hapa namzungumzia Tox star unaweza kumuita 

Tox nyota au hata Bongo fabollous ambae anatamba na 

ngoma zake kadhaa km pretty girl alomshirikisha ali kiba

naomba nielewe aloimba na dully,hivi sasa jamaa anakuja 

tena na mzigo wake mpya alioupa 

jina la kitaani ni boonge la nyimbo hapa amemshirikisha mr 

chocolate flavour namzungumzia bob junior na kuna sauti za 
mwanadada menina la divva...

No comments:

Post a Comment