aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 26, 2013

PICHA:CHADEMA WALIVYOUNGURUMA MKOANI IRINGA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili Rasimu ya Katiba Mpya, ulofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa.
  Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya wazi ya Rasimu ya Katiba Mpya, ulofanyika kwenye Uumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa juzi.

No comments:

Post a Comment