aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 26, 2013

MSOME KIJANA UYU

Anaitwa Ali Hussain wa nchini India na ana miaka 14. Ana tatizo liitwalo Progeria linalomfanya aonekane kama mzee. Ndugu zake watano wameshafariki kwa tatizo hilo. Tatizo hilo huathiri watu 80 tu duniani kote.

No comments:

Post a Comment