aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 26, 2013

BAJAJI INAPOGEKA KUWA GARI LA KUBEBEA MIZIGO...


 Kamera yetu hivi ilibahatika kuwanasa jamaa hawa wakipakia Uchafu kwenye usafiri huu wa Bajaj ambao ni maarufu kwa kubebea Abiria hapa nchini,lakini kwa jamaa hawa ikawa ni tofauti na mazoea huku wakiwa hawana noma na usafiri huo wala nini.
 Hapa kazi ikiendelea tena kwa kasi ya ajabu.
 Chombo kimeshasheheni mzigo tayari kwa kuondoka eneo la tukio.
Si kikagoma kuwaka,basi kazi ilikuwa ni hivi.......hayaaaaa shtuaaaaaaa......

No comments:

Post a Comment