aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 6, 2013

SHERIA MKONONI:WATUHUMIWA WA KUMWUA PUNDA WAPIGWA VIBAYA

Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na wanafunzi wa mafunzo ya mgambo.



No comments:

Post a Comment