aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

NAOMBA MSAADA NIWATUNZE WANANGU - MAMA WATATU

Pichani juu ni taswira za Mama Watatu akiwa na wanaye wakisubiri msaada eneo la Karume jijini Dar es Salaam kama walivyonaswa na kamera yetu leo.
Mama wa watoto watatu ambao mara nyingi huonekana katika jiji la Dar es Salaam aitwaye Sophia Abdallah maarufu kwa jina la Mama Watatu anaomba msaada aweze kuwatunza wanaye. Mama huyu anasema kuwa hana uwezo wa kuwatunza watoto wake baada ya baba yao kufariki. Mama Matatu ana watoto wanne kati yao watatu wana matatizo ambao ni Ausi, Hidaya na Mosha. Pindi apatapo fedha, Mama Watatu urudi nyumbani kwao Mtwara maana kule maisha ni nafuu kuliko mjini.

No comments:

Post a Comment