The main purpose of this Blog is to share my knowledge with the world..You Are Warmly Welcomed
Contacts:husseinngenje@yahoo.com
+79264327067
Ads 468x60px
Monday, August 5, 2013
Kama wewe ni shabiki wa Nazizi, hiki ni kitu kipya kinachomuhusu yeye.
Nazizi Hirji ambaye alikuwa member wa Necessary noise na pia ni mshirika mkubwa wa Prezzo, amekua kimya kwa muda mrefu sana kwenye music hasa baada ya kupata mtoto. Nazizi ambaye alifanya vizuri sana hadi bongo ikamjua kupitia track zake kama “Lets get down” ft Prezzo na “Kenyan Boy” akiwa na Necessary noise, hivi karibuni amedrop album yake mpya inaitwa Motherland.
Nazizi akiwajulisha mashabiki wake kupitia twitter aliandika, “To all askin for new tracks dont forget MOTHERLAND Nazizi album is out now place u r order now or buy online”.
Kama haujui Nazizi ni long time mama wa mtoto mmoja wa kiume anaitwa Tafari.
Hii ni moja ya track iliyompa kick Nazizi akiwa na Prezzo.
No comments:
Post a Comment