aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

EXCLUSIVE: MWINYI KAZIMOTO AKIWA NA RAUL GONZALEZ BLANCO MAZOEZINI QATAR - AONGEA RASMI KUHUSU HATMA YAKE

Kiungo wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto
 akiwa na Gwiji wa soka wa Hispania na Real Madrid Raul Gonzalez
 huko Qatar alipokuwa ameenda kufanya majaribio ya kucheza 

soka la kulipwa. Mtandao huu umepata nafasi ya kuongea na
 Kazimoto na
 kwa kifupi ameomba radhi kwa kutoroka - pia amesema amefanikiwa
kupata timu huko alipo. 

SOURCE:SHAFFIHDAUDA 

No comments:

Post a Comment