aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

BASKETBALL ALL STARS BONANZA ILIVYOFANA:

Jumamosi ya Tarehe 3,August 2013 Inaingia katika kitabu cha
 Kumbukumbu kwenye Ulimwengu wa Kikapu Tanzania baada ya 
Tamasha la mpira wa Kikapu liliolandaliwa na Vijana city bulls
 kwa ushirikiano na wadau wa Kikapu Tanzania kuonekana kufana 
Sana.Bonanza hilo Lililoshirikisha Wachezaji wakali wa Kikapu 
Jijini Dar es salaam.Likisindikizwa na Burudani ya Muziki Bonanza
 hilo lilishuhudia mechi mbali mbali za Kufurahisha na kuhamasisha
 sana
Akitoa Mchango wake kwa Moyo Moja MCHEZAJI wa Mpira wa Kikapu katika 
LIGI YA MAREKANI NBA HASHEEM THABEET aliungana na Vijana waliojitokeza
 kusherehesha tamasha hilo.Tamasha lilipambwa na mechi za WANAWAKE,
VETERANS NA Vijana shupavu lilifanyika katika viwanja vya Leaders club.
 Baadhi wa Wachezaji waliojitokeza katika Bonanza la Basketball 
all stars.
 HASHEEM THABEET akipeana mikono ya pongezi na kuagana na baadhi
 ya Wachezaji wa Vijana wanao wakilisha Taifa kwenye michuano ya 
zone V
 huko Burundi.
 HASHEEM akifanya yake na Vijana wa Kitanzania uwanja
 wa Leaders Club

 Baadhi ya makocha waliojitokeza KUTOA SUPPORT kwenye
 Bonanza hilo.

 HASHEEM THABEET AKIFUNGUA MAPAMBANO WAKATI TIMU ZA 
WANAWAKE/WASICHANA
 ZILIPOKUTANA

No comments:

Post a Comment