aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

AZAM YAANZA ZIARA NCHINI AFRIKA YA KUSINI, LEO KUIKABILI KAISER CHIEFS




Makamu bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Timu ya Azam Fc, wameanza 

rasmi ziara ya mechi za kirafiki nchini Afrika Kusini, ambapo leo watakuwa na 
kibarua kigumu cha kuumana katika mchezo wake wa kirafiki na Kaiser Chiefs 
ambayo inacheza Ligi Kuu ya nchi hiyo (PSL).


Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam, Jaffer Idd, aliyefutana na timu hiyo, 

mechi hiyo
 inachezwa jijini Johannesburg, leo jioni. Kwa mawasiliano zaidi, Jaffer Idd 
anapatikana kwa namba +27788847399.

No comments:

Post a Comment