aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 21, 2013

Video: Wauzaji wa filamu za ngono wakamatwa Mombasa


Maafisa wa filamu mjini Mombasa wameanzisha msako mkali dhidi ya wanaoendeleza biashara haramu ya sinema au filamu za ngono. Katika siku ya kwanza ya msako wao wamenasa baadhi ya washukiwa wanaodaiwa kuuza video hizo na wanaolengwa sasa ni maeneo ambako sinema hizo zinarekodiwa

No comments:

Post a Comment