aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 23, 2013

PICHA TATU ZA AWALI NDEGE ILIYOANGUKIA ZIWA MANYARA JANA

DJ SEK BLOG



DJ SEK BLOG

DJ SEK BLOGNdege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote walijeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu jana.

No comments:

Post a Comment