aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 24, 2013

MDOGO WAKE MAREHEMU STEVEN KANUMBA,AIBUKIA DSM NA KUSEMA MANENO HAYA MAZITO

Lameck Charles Kanumba anavyoonekana kwa karibu, baada ya kuzungumza mengi 
Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
MDOGO wake marehemu Steven Charles Kanumba, anayeitwa Lameck Charles Kanumba, ameibukia jijini Dar es Salaam, huku akisema kuwa kaka yake anamtokea ndotoni na kuzungumza naye mambo mengi, yanayohusu familia na sanaa ya Tanzania.
Lameck aliyasema hayo mapema leo mchana, ikiwa ni miezi mine tangu alipokuja jijini Dar es Salaam kwenye kumbukumbu ya kaka yake, ambapo pia historia inafanana kutokana na baba yao kuendelea kula kona na kuacha kuwatunza watoto wake na kuwatelekeza kwa mama zao.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment