aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

FILAMU MPYA YA IRENE UWOYA - "QUESTION MARK" IMEACHIWA RASMI LEO.

Katika tasnia ya filamu nchini, jina la Irene Uwoja sii geni hata kidogo lakini filamu hii ya "Question Mark" ni ndiyo inayokufanya utahamaki zaidi kumtazama mwanadada Irene Uwoya.

Kwa habari zilizoifikia site hii ni kuachiwa kwa filamu mpyaaa ya muigizaji maarufu nchini anayekwenda kwa jina la Irene Uwoya, Filamu inaitwa "Question Mark" inapatikana sokoni
.

No comments:

Post a Comment