aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 6, 2013

DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA"

 
“Mimi sina stress na game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na Mungu akupe matumaini,” ameiambia Bongo5.
Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.
“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”

source:bongo5

No comments:

Post a Comment