
UMOJA wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini (UTPC), umekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya kutumia kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Wanahabari mkoani Iringa (IPC), Daudi Mwangosi kama mtaji wa kisiasa. Tayari Chadema wameiandikia barua klabu ya wanahabari Iringa (IPC), kutaka washiriki kujenga mnara wa kumbukumbu katika..Read More http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15620-chadema-yadaiwa-kumtumia-mwangosi-kisiasa
No comments:
Post a Comment