aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

Baada ya Oprah, huyu ndiyo star mwingine kutoka Marekani aliyekuja East Africa.


joe jonas
Mara nyingi mastaa kutoka Ulaya na Marekani huwa wanatembelea Africa mashariki bila ya watu wengi kujua, hii ni kwasababu wao wenyewe hupenda mambo yao kufanywa kwa private sana. Wiki chache zilizopita mtangazaji maarufu duniani Oprah alikuwa Ngorongoro kwenye mapumziko yake, Justin Timberlake pia aliwahi kufika Ngorongoro na bila kumsahau Roman Abramovich ambaye alipanda mlima Kilimanjaro.
Sasa hivi ni zamu ya Joe Jonas member wa kundi maarufu la Jonas brothers kutoka Marekani. Kama ilivyo kwa One direction wanavyopendwa na vijana wadogo, ndivyo ilivyokuwa kwa Jonas brothers na kitu cha tofauti pia kundi hili linaloundwa na ndugu watatu. Joe alifika Kenya maeneo ya Maasai Mara kwa ajili ya kazi ya kujitolea haswa kwenye swala la elimu. Baada ya kazi iliyomleta alitumia muda wake wa ziada kujifunza vitu vya wasai kama kucheza ndasi yao ya asili.
joe jonas2GQ, Cadillac, Lacoste And Patron Tequila Celebrate Coolest Athletes And The Big Game In Dallas Hosted By Andy Roddick - Red Carpet
jonas-brothers-oprah-01
Jonas Brothers wakiwa kwenye show ya Oprah

No comments:

Post a Comment