aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 24, 2013

ANGALIA PICHA:MSANII HEMED APATA AJALI YA GARI JANA USIKU

Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na matibabu.CHANZO BONGO CLANTZ

No comments:

Post a Comment