aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 2, 2013

AIBU TUPU:CHUMBA ALICHOPELEKWA ROSE NDAUKA CHAKUTWA NA KONDOM TANO ZILIZOTUMIKA...



Chumba cha hoteli ambacho Rose Ndauka alinaswa akiingia na dogo Nasry ambaye ni msanii wa bongo fleva, kimekutwa na kondomu tano zilizotumia...

Rose Ndauka ambaye ni mchumba wa Malik Bandawe,wiki iliyopita alinaswa akiingizwa katika chumba hicho na msanii Nassoro Ayoub "Nasry".

Kwa msaada wa wafanya usafi wa hoteli hiyo iliyoko maeneo ya kinondoni jijini Dar,wawili hao waliingia katika chumba namba G17 cha hoteli hiyo na kutumia masaa takribani matatu huku chumba kikiwa kimefungwa na walipotoka chumba kilikuwa hoi bin taaban....


"Mimi ndiye niliyefanya usafi chumba namba G17 siku hiyo na nilikuta kondomu tano zilizotumika huku shuka zikiwa zimevurugika kabisa."..Alifunguka mfanya usafi huyo

Tukio la binti huyu kunaswa akiingizwa hotelini na dogo Nasry linatia shaka uchumba wake na Malik Bandawe ambaye kwa kipindi kirefu wamekuwa wakitangaza mipango yao ya kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment