aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, June 2, 2014

YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE, SHIDA SALUM



Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.

Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa. 
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani. 
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo. 
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment