aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, June 7, 2014

PENDO MAISHA PLUS ‘ADATA’ MSIBANI

STAA wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’ ameshindwa kuzuia hisia zake za kimapendo na kufunguka kuwa anampenda sana mwimbaji Kalala Junior.
Staa wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’
Akitema stori mbili tatu na paparazi wetu katika msiba wa dairekta George Tyson baada ya kumuona Kalala kwa mbali, Pendo pasipo kufafanua kwa undani, alisema anampenda kuliko maelezo nyota huyo wa muziki wa dansi.
“Jamani niwe mkweli tu, nampenda sana Kalala tuweke utani pembeni na mwenyewe anajua sababu nilishawahi kumwambia,” alisema Pendo.
Risasi linaendelea kuwachimba wawili hao, mzigo ukikaa sawa, tutawajuza.
SOURCE:GPL

No comments:

Post a Comment