aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, June 5, 2014

ALICHOSEMA MBUNGE JOHN KOMBA KUHUSU PICHA ZA UCH*


Baada Ya Picha za Uchi Kusambaa Mtandaoni.... hiki ndo alichosema mbunge wa mbinga


Nimesikitishwa sana na kitendo cha binti aliye weka picha yake ikionyesha maziwa nje name nyingine nikiwa nimepiga nae. Binti huyo ni mpiga kura Wangu na alikua anaumwa nikaona nikamsalimie kwakua nafahamiana nae na ni kama mtoto Wangu. Nilipofika nilimkuta amevaa kanga nikampa juice na matunda niliyompelekea na fedha taslimu. Alishukuru sana akaomba kupiga picha nami, basi akasogea karibu akapiga picha. Kumbe alishapiga nyingine ikiwa inaonyesha maziwa. Ninafaham kuna watu wamemtumia ili kunichafua na kuchafua chama. Hongereni lakin ukweli ndio huo
According to. KOMBA


SOURCE: OFFICIAL A.B

No comments:

Post a Comment